Job 28:25-27

25 aAlipofanyiza nguvu za upepo
na kuyapima maji,
26 balipofanya maagizo kwa ajili ya mvua
na njia kwa ajili ya umeme wa radi,
27ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake,
akaithibitisha na kuihakikisha.
Copyright information for SwhNEN